JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

 Chalamila awataka viongozi ngazi za Manispaa kutumia matokeo ya sensa kufanya maamzi

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka watendaji na viongozi katika ngazi za mitaa wilaya na manispaa kutumia matokeo ya takwimu za Sensa katika kufanya maamuzi. Chalamila ametoa agizo…

DP chamuomba Rais Samia kuchukua hatua gharama za matibabu Muhimbili

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Chama Cha Democratic Party (DP) kimemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuchukua hatua kufuatia kuwepo kwa Vitendo vya kutozwa gharama kubwa kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) hali ambayo inawafanya Wananchi kushindwa kumudu gharama…

Amwagiwa tindikali na wasiojulikana, alazwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Ernest Lyoba (61), mkazi wa Kijiji cha Namanyere Kata ya Majimoto Wilaya ya Mlele amejeruhiwa vibaya katika na sehemu yake ya uso na mgongoni baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana wakati akiwa njiani anaelekea…

Bunge laahirisha mkutano wake

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkutano wa 11 wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,umeahirishwa huku Serikali ikiwahakikishia Watanzania kuwa mikataba ya utekelezaji wa makubaliano ya uendeshaji wa maeneo ya bandari nchini kati yake na Serikali ya…

Waziri Mkuu atoa agizo kwa watendaji wa Halmashauri

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote nchini zihakikishe maeneo yote yanayotwaliwa kutoka kwa wananchi yanalipiwa fidia kwa wakati ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza siku za usoni. Amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini…

Majaliwa: Mikataba ya uendelezaji bandari itazingatia maslahi ya nchi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha kuwa mikataba ya utekelezaji wa makubaliano ya uendeshaji wa maeneo ya bandari nchini kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World itazingatia maslahi ya nchi na kuleta manufaa kwa…