JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yatoa mil.893/- kuboresha miundombinu shule za msingi Songea

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Songea Serikali imetoa shilingi milioni 893 kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya shule za msingi (BOOST) katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Dkt.Frederick Sagamiko wakati anatoa taarifa ya utekelezaji wa…

MSD yawanoa watumishi kada ya madereva

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watumishi wa MSD wa kada ya udereva, wamejengewa uwezo kupitia mafunzo mbalimbali yanayoandaliwa na taasisi hasa katika eneo la huduma kwa wateja wakati wa usambazaji bidhaa za afya. Mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Morogoro yamekutanisha madereva wote…

Majaliwa: Mjadala wa bandari usiligawe taifa

……………………………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. ā€œMjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie…

Mbunge Keysha: Msitishwe na kuogopa maneno ya DP World ni fursa kwa wananchi

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Viti Maalum Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewaomba watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo na kutoa ufafanuzi kuhusu Suala la Bandari ya Dar es salaam kwani linakwenda kugusa maisha ya watanzania. TAYA…

Wananchi washauriwa kuacha tabia ya kununua dawa bila ushauri wa daktari

Na Severin Blasio, JamhuriMedia, Morogoro Wananchi wameshauriwa kuacha tabia ya kununua dawa na kutumia bila ushauri wa daktari na badala yake waende kwenye kituo cha kutoa huduma wapate ushauri wa kitaalam. Kauli hiyo imetolewa na mganga mfawidhi wa wa kituo…