JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

NEC yateua 77 kutoka vyama 17 kugombea udiwani kata 14

Na Mroki Mroki, JamhuriMedia,Dodoma Wagonbea 77 kutoka vyama 14 vyenye usajili wa kudumu wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwania nafasi wazi za udiwani katika Kata 14 za Tanzania Bara ambazo zinataraji kufanya uchaguzi mdogo  Julai 13,2023. Tume ya…

Ziara ya Waziri Mkuu Tanga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba, wakati alipowasili Mkoani Tanga, katika ziara ya siku moja Julai 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Kikundi cha Hamasa…

Miaka 20 ya Baraza la Famasia Tanzania chachu ya huduma bora

Na Majid Abdulkarim, Dodoma Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Mama na Mtoto, Wizara ya Afya, Dkt. Ahmad Makuwani amelitaka Baraza la Famasi Tanzania kuwa chachu ya kuboresha huduma za dawa katika Sekta…

TASAC yakusanya maoni tozo za TPA

Na David John , Jamhurimedia, Kigoma Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na wadau mbalimbali mkoani Kigoma na kukusanya maoni juu ya maombi ya mapitio ya tozo yaliyowasilishwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) uliofanyika Juni…

Chalamila atoa rai kwa waliokaidi kufanyia biashara katika Soko la Mwenge kurudi mara moja

Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila ametoa rai kwa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga waliolikimbia soko la Mwenge Cocacola kurudi mara moja katika maeneo rasmi waliyopangiwa ndani ya wiki…

Waraibu kunufika na mikopo ya asilimia 10

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imefikia uamuzi wake wa kuongeza kundi la waraibu wa dawa za kulevya katika wanufaika wa mikopo ya fedha zitokanazo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri nchini ili waweze kufanya shughuli za…