JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa:Mafuta ya Kaskazini, kanda ya ziwa yachukuliwe Tanga

Wazuri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Nishati iratibu ununuzi wa mafuta kutoka mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa ili yachukuliwe kutokea Tanga badala ya Dar es Salaam. Ametoa agizo hilo leo (Jumamosi, Julai Mosi, 2023) mara baada ya…

Mpango afungua wiki ya maadhimisho ya JKT

……….………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Jeshi la Kujenga Taifa kuhakikisha wanafanya uwekezaji zaidi katika kufundisha vijana matumizi ya teknolojia katika shughuli zake mbalimbali za uzalishaji mali na utoaji…

Serikali yaandaa sera kuwezesha Diaspora kuwekeza ujenzi na ununuzi wa nyumba nchini

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akikabidhi mfano wa funguo kwa familia ya John Mwangosi wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba na maeneo ya biashara kwenye mradi wa Morocco Square unaotekelezwa na Shirika la Nyumba…

NEC yateua 77 kutoka vyama 17 kugombea udiwani kata 14

Na Mroki Mroki, JamhuriMedia,Dodoma Wagonbea 77 kutoka vyama 14 vyenye usajili wa kudumu wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwania nafasi wazi za udiwani katika Kata 14 za Tanzania Bara ambazo zinataraji kufanya uchaguzi mdogo  Julai 13,2023. Tume ya…