Category: Habari Mpya
Serikali: Watu 70 hufariki kila siku kwa uhonjwa kigua kikuu Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Arusha Watu 70 hufariki kila siku nchini Tanzania kutokana na Ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) na watu 25,800 hufariki kila mwaka kutokana na ugonjwa huo hapa nchini. Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu…
Serikali yasaini mikataba mitatu yenye thamani ya Bilioni 455.09 kutoka EU
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan ameshuhudia hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya makubaliano yenye thamani ya Euro 179.35 milioni sawa na shilingi za kitanzania bilioni 455.09 msaada uliotolewa na…
RC Chalamila amuapisha DC mpya Temeke
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mobhare Holmes Matinyi kufuatia uteuzi uliofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Hafla ya uapisho huo imefanyika…
Kikongwe auawa kwa kukatwa mapanga
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika hali isiyo kawaida kikongwe mmoja mwenye umri wa miaka zaidi ya 90, Hilda Ngasa mkazi wa Mtaa wa Kinyambwa Kata ya Kikuyu Mkoani Dodoma ameuawa kwa kukatwa mapanga na mwanaume mmoja aitwaye Yohana Luhanga ambaye anadhaniwa…
Bashe atoa rai kwa nchi za SADC kushirikiana uzalishaji wa chakula
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa rai kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana katika uzalishaji wa chakula kwa mpango utakaonufaisha nchi zote wanachama. Bashe ameyasema hayo leo alipowasilisha mada kuhusu kilimo cha kisasa kama njia…