Category: Habari Mpya
‘Tunaishukuru Korea Kusini kusaidia huduma za afya’
NAIBU Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Julieth Magandi amesema Serikali ya Korea Kusini kupitia vyuo na taasisi zake, imekuwa na ushirikiano uliowezesha hospitali kuongeza ufanisi katika utoaji huduma bora kwa wananchi. Dk Magandi amesema hayo leo alipokutana na…
Bahi kinara ukamilishaji miradi ya BOOST
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amekabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe madarasa 51, vyoo 63 na nyumba 1 ya waalimu ikiwa ni sawa na shule 7 zilizokamilika katika Wilaya ya Bahi….
Ulega: Wizara imejipanga kuwawezesha vijana,wafugaji kufuga kisasa
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Wizara yake imejipanga kuanzisha programu ya BBT Mifugo katika Ranchi ya Mkata kwa lengo la kuwawezesha vijana na wafugaji wengine kufanya ufugaji wa kisasa na wenye tija kubwa zaidi kwao na kwa…
‘Redio na runinga 38 duniani zinarusha matangazo kwa lugha ya kiswahili ‘
Eleuteri Mangi, WUSM, Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amewataka Wahariri kushirikiana na mabaraza ya Kiswahili ya BAKITA na BAKIZA ili kuendeleza lugha ya Kiswahili. Amesema kuwa lugha ya Kiswahili imevuka…
Wahariri watakiwa kulinda lugha ya kiswahili kuepuka upotoshaji
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah amewataka wahariri kuzingatia matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili ili kukikuza zaidi duniani. Hayo ameyabainisha leo Julai 4, 2023 wakati akifunguwa kongamano lililowakutanisha wahariri wa habari kutoka Tanzania Bara na Visiwani…
Raid Dkt.Samia awataka wana Mbarali kuenzi mazuri ya mbunge wao
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wana-Mbarali wamuombee na kuenzi mazuri yote aliyofanya enzi za uhai wake aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Francis Mtega. Hayo yamesemwa leo (Jumanne, Julai 4, 2023) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipoongoza waombolezaji…