JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mpango ashiriki hafla ya makabidhiano ya madarasa Buhigwe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanasimamia vema watoto wao kupata elimu kwa mustakbali wa Maisha yao na kuwa na uhakika wa wataalamu mbalimbali wa baadae…

Kunenge: Rais Samia anafanyakazi kubwa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge ameziagiza wilaya, Halmashauri kujiwekea mipango kazi, mikakati ambayo inakwenda kuboresha mazingira ya kibiashara ili kuinua sekta ya biashara katika kuongeza pato la Taifa . Aidha ametoa rai kuimarisha…

Misaada hii itasaidia kutekeleza miradi ya maendeleo” – Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na msaada wa fedha zilizotolewa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa lengo la kuimarisha miradi itakayoongeza tija na ufanisi katika sekta mbalimbali ambayo inatekelezwa nchini. Akizungumza…

‘Tunaishukuru Korea Kusini kusaidia huduma za afya’

NAIBU Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Julieth Magandi amesema Serikali ya Korea Kusini kupitia vyuo na taasisi zake, imekuwa na ushirikiano uliowezesha hospitali kuongeza ufanisi katika utoaji huduma bora kwa wananchi. Dk Magandi amesema hayo leo alipokutana na…