Category: Habari Mpya
Ummy : Epukeni matumizi holela ya dawa
Na WAF – Tanga Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuacha matumizi holela ya dawa bila kufuata ushauri wa madaktari ili kuepuka usugu wa dawa dhidi ya vimelea ambapo husababisha dawa hizo kushindwa kuponya. Waziri Ummy amesema hayo Mei…
Wiki ya AZAKI yazinduliwa Dar, Rutenge awashauri wananchi kutoa maoni Dira ya Taifa 2050
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS) Justice Rutenge, amesema katika kutekeleza Dira ya Taifa 2050 wananchi wanapaswa kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata Dira bora kwa maendeleo ya jamii…
NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa la Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Kupitia…
Prof. Janabi : Viongozi wenzangu toeni maamuzi na kutatua changamoto kwa wakati
Na MwandishibWetu, JamhuriMesldia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka viongozi wa hospitali hiyo kutoa maamuzi na kutatua changamoto zinazojitokeza katika maeneo yao ya usimamizi kwa wakati ili kuendelea kutoa huduma bora. Prof….
Iran kufanya uchaguzi mkuu wa rais Juni 28
Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, 2024 kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. Ripoti za vyombo vya habari vya taifa nchini Iran, zinasema kuwa…
Tanzania yang’ara ajenda ya maji kwa ustawi wa wote
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb), Waziri wa Maji amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia…