Category: Habari Mpya
Senyamule aagiza watumishi wazembe wachukuliwe hatua za kisheria
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametaka hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa watumishi wote ambao wamebainika kuhusika na vitendo vya ubadhirifu wa rasilimali au fedha za umma na kusababisha hoja za ukaguzi kwa uzembe. Akizungumza katika Kikao cha…
‘Serikali yaanisha mikakati ya kuvutia wawekezaji sekta ya madini’
Na Mwandishi Wetu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini na Taasisi zake imeweka mikakati ya kutangaza fursa zilizopo katika Sekta ya Madini ikiwa ni pamoja na ushiriki wake katika maonesho…
Rais Samia azishauri balozi za Tanzania kuanzisha vituo vya kutoa elimu ya utamaduni wa mswahili
Na Mwandishi Wetu Zanzibar Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amezishauri Balozi za Tanzania zinazoiwakilisha nchi kimataifa kuona haja ya kuanzisha vituo vya kutoa elimu juu ya utamaduni wa mswahili ili kukikuza na kukieneza Kiswahili…
Mawaziri sita kutoka Tanzania, Zambia wakutana kujadili bomba la mafuta Dar
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Mawaziri 6 kutoka Tanzania na Zambia watakutana kwenye kikao kazi kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na…
DCEA yatoa elimu wanaotumia na wanaouza dawa za kulevya Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kamshna Jenerali wa Mamlka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA),Aretas Lyimo amesema, mamlaka hiyo imedhamiria kutoa elimu zaidi kwa Watanzania kuhusiana na dawa za kulevya ili wawe na uelewa wa pamoja kuhusu…