JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Simba yapanda viwango vya ubora barani Afrika

Klabu ya Simba imepanda kwa nafasi mbili kwenye viwango vya ubora Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Msimu uliopita Simba ilikuwa nafasi ya tisa sasa imesogea mpaka nafasi ya saba kuelekea msimu ujao Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya…

Rais Samia mgeni rasmi kilele cha wiki ya JKT

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la kujenga Taifa ( JKT ) Julai 10,2023 Jijini Dodoma. Waziri wa…

Makombe ya Yanga yapamba NMB Sabasaba

Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB kwa kushirikiana na Klabu ya Yanga imewaomba wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuchangamkia fursa ya kujisajili ili  kupata kadi za uanachama ambazo zitawasaidia kutambulika na klabu hiyo pamoja kupata kwa urahisi huduma za…

Wizara ya Afya yaikabidhi zimamoto magari ya uokoaji yenye thamani ya bil.1.6/-

WIZARA YA AFYA YAIKABIDHI ZIMAMOTO MAGARI YA UOKOAJI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6 Na. Catherine Sungura,Dar es salaam. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Julai 8, 2023 amemkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Inj. Hamad Masauni…

Tume ya utumishi yatakiwa kufanyiakazi changamoto za walimu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini. Ametoa kauli hiyo jijini…

Rais Samia ataka vikwazo mpakani viondolewe

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara hususan mnpakani mwa Tanzania na Malawi ili wananchi waweze kunufaika na biashara zao.Rais Samia ameyasema hayo kabla ya kuhitimisha ziara…