JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ridhiwan: Takwimu TASAF ziakisi kila wilaya ili kufikia malengo kwa walengwa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ameagiza takwimu za utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) ziakisi kila Wilaya na Halmashauri zake ili kupata tathmini sahihi…

Hekari 535 za mirungi zateketezwa Same

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika kuhakikisha dawa za kulevya zinatokomea nchini Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanikiwa kuteketeza hekari 535 za mashamba ya mirungi katika operesheni maalum…

Thamani ya hisa za NICOL yaendelea kupaa DSE

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia Kampuni ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu kulinganisha na faida ya shilingi bilioni 4.1 ya mwaka 2021. Hayo yamesemwa jana na Ofisa Mtendaji…

‘Wanaume watano, mmoja anashinikizo la juu la damu’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya figo. Chalamila ameyasema hayo…