Category: Habari Mpya
‘Kibali wanaume wanaotaka kusuka ni milioni moja’
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt. Omar Adam amesema baraza lao limeweka kibali maalum cha kusuka nywele kwa wanaume ambacho hutolewa kwa gharama ya shilingi milioni moja. Dkt Adam ameyasema hayo akiwa kwenye mahojiano…
‘Vitendo vya kuvuliwa nguo kwenyeupekuzi mgodini limekomeshwa’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Manyara Matukio ya wadau wa madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kuvuliwa nguo kwenye upekuzi katika lango la kutokea ndani ya ukuta unayozunguka migodi hiyo yamekomeshwa. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Dkt…
Chana mgeni rasmi tamasha la 14 la Muziki wa Cigogo Chamwino Ikulu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt.Pindi Chana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa tamasha la Muziki wa Cigogo ambalo mwaka huu ni la msimu wa 14, tukio litakalofanyika Julai 22, katika Kijiji cha…
Wachezaji Simba wapimwa afya Mlongazila
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024….
Madini yapongezwa kwa kutoa elimu na kampuni ya GGML
WIZARA ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake na wadau wa Sekta ya Madini. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 11, 2023 na Mwanasheria…
Naibu Waziri,Utumishi ateta na watumishi Kibaha
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia,Kibaha Naibu Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwan Kikwete ameanza ziara rasmi ya Kikazi Mkoani Pwani ambapo Julai 10,2023 ameongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Kibaha ikiwa niwendelezo…