JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DC Same atoa siku 30 vijiji vyote kuteketeza mashamba ya mirungi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Same Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa viongozi wa vijiji vitatu vya Tae, Mahande na Heikondi vilivyo kata ya Tae wilayani humo kushirikiana kuteketeza mashamba yote ya mirungi na kuachana na…

Ridhiwani:Halmashauri zishirikiane na TASAF kuinua vikundi vya wanufaika

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri nchini zimehimizwa ,kuvikopesha vikundi vya ujasiriamali vilivyoanzishwa na wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF, kama ilivyo vikundi vingine ili walengwa wajikwamue kiuchumi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala…

TANESCO,wafanyabiashara chuma chakavu wakubaliana kulinda miundombinu

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia,Songea Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Ruvuma limeweka makubaliano ya pamoja na wafanyabiashara wa vyuma chakavu mkoani humo katika suala zima la kulinda miundombinu mbalimbali iliowekwa na Serikali kwa maendeleo ya wananchi ikiwemo ya umeme ili…

JK,mkewe watembelea jamii ya Wahadzabe

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete wamezuru jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata Tarafa ya Eyasi, Wilaya ya Karatu. Katika ziara yao hiyo Dkt. Kikwete na mkewe wamepata fursa…

Rais Samia:Afrika sio salama kwa wala rushwa

Na Immaculate Makilika, JamhuriMedia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa ni mfumo wa kisheria unaoziwezesha nchi kushirikiana katika kuzuia vitendo vya rushwa,…