JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Abbott Fund kuendeleza ushirikiano na Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mfuko wa Abbott wenye makao yake makuu nchini Marekani umeahidi kuendelea kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kuwajengea uwezo watalaam wa vifaa tiba na baadhi ya kada zenye uhaba zitakazoainishwa hapo…

Jerry: Baadhi ya hoja za kisheria wanaozijadili wanasheria hawazijui au wanapotosha makusudi

Wakati gumzo la mkataba wa uwekezaji Bandarini Dar es Salaam likiendelea, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mita ji ya Umma (PIC) ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa ameelezea mengi ikiwemo hoja za kisheria…

Serikali yatoa onyo kali kuhusiana na kilimo cha mirungi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimo ametoa onyo kali kwa viongozi wa ngazi ya halmashauri  watakaobanika kutochukua hatua stahiki kuhusiana na kilimo cha mirungi, na kusema kuwa watachukuliwa hatua…

‘Madaktari bingwa kufanyakazi kliniki binafsi si jipya’

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya…

Wapiga kura 74,642 kupiga kura kuchagua madiwani kesho

Na Mwandishi Maalum,JamhuriMedia Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 13 za Tanzania Bara kesho Julai 13,2023. Jumla ya wapiga kura 74,642 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu…

Maandamo yafanyika Kenya licha ya marufuku ya Polisi

Maandamano ya upinzani yameanza nchini Kenya, licha ya kutangazwa na polisi kuwa haramu, na kusababisha matumizi ya vitoa machozi na vyombo vya sheria kuwatawanya waandamanaji katika miji mbalimbali. Inspekta Jenerali wa Polisi alisema kuwa “mamlaka hawana lingine ila kuchukua hatua…