Category: Habari Mpya
Moshi wa mkaa na kuni, chanzo kingine cha upumuaji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani “Nimetumia kuni kwa miaka takriban kumi na mkaa nimeutumia kwa zaidi ya miaka mitano ,pamoja na mabaki ya mbao katika biashara yangu ya kuuza chips,mishkaki na kukaanga kuku” Katika miaka yote hiyo sikujua kama nazalisha hatari…
Serikali yatoa milioni 560 kujenga sekondari mpya Mbinga
Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Mbinga Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan Imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kujenga sekondari mpya wilayani Mbinga. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga…
Watu sita wauawa katika maandamano ya upinzani nchini Kenya
Watu sita waliuawa Jumatano nchini Kenya katika mapambano kati ya Polisi na waandamanaji walioshiriki maandamano ya upinzani yaliyopigwa marufuku, maafisa na polisi wameliambia shirika la habari la AFP. Baada ya ghasia hizo za Jumatano, Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure…
Ridhiwani: Serikali imedhamiria kuinua kaya maskini kwa kupeleka fedha za TASAF
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri nchini zimetakiwa kushirikiana na Serikali kupunguza umaskini kwenye baadhi ya kaya ikiwemo ,kuvikopesha vikundi vya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini( TASAF) ili viweze kujiinua kiuchumi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi…
Tazama matokeo kidato cha sita
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023 NA UALIMU 2023 YAMETANGAZWA Bofya link chini kutazama matokeo haya MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/dsee/index.htm MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/gatce/index.htm MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2023…