JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watu sita wafariki ajali ya lori Geita

Na Mwandishi Wetu Watu sita wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa katika ajali ya gari dogo la  abiria aina ya Toyota Hiace yenye namba za usajili T766 DQP iliyogongana uso  kwa uso na lori la mizigo wilayani Bukombe mkoani Geita. Kamanda…

Msajili Hazina aanza kuzifanyia tathmini taasisi na mashirika ya Serikali

Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu ameanza kuzifanyia tathimini taasisi na mashirika ya serikali, akisema kiu yake kubwa ni kuona taasisi na mashirika hayo yanafanya kazi kwa ufanisi kwa maslahi ya nchi. Mchechu ameyasema hayo leo Julai 13, Dar es Salaam…

Bil.77/- zavunwa maonesho Sabasaba

Bidhaa mbalimbali zenye thamani ya sh bilioni 3.8 zimeuzwa wakati wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba 2023’  ikilinganishwa na sh bilioni 3.6 zilizopatikana katika maonesho ya mwaka jana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania…

Jeshi la Polisi kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Jeshi la Polisi limesema kuwa litaendelea kuunga mkono juhudi za Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la ulinzi na usalama Daktari Samia Suluhu hassan Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika…

Wizara ya madini yashinda tuzo kipengele cha nishati, madini

Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini imeibuka Mshindi Namba 1 katika kipengele cha Nishati na Madini kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Sabasaba Asanteni sana wananchi na wadau wote…