JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

IGP Wambura apokea tuzo kutoka kwa wenye ulemavu wa ngozi

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura amepokea tuzo kutoka kwa chama cha watu wenye wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (TAS) ambayo ilitolewa katika maadhimisho ya kumi nane…

Waziri Ummy aagiza huduma za NICU ziwepo hospitali zote za halmashauri

Na WAF – Shinyanga Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwepo na huduma za uangalizi Maalum kwa Watoto Wachanga (NICU). Waziri Ummy ametoa agizo ilo Julai 13, 2023 alipokuwa anaongea na timu ya usimamizi wa…

Watanzania watakiwa kushiriki mkutano wa kimataifa wa sekta ya mifugo na uvuvi wa AGRF 2023

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Mkutano wa kimataifa wa sekta ya Mifugo na uvuvi (AGRF-2023) September 5-8,2023 Jijini Dar Es Salaam utakaohudhuriwa na washiriki zaidi ya 3000 wanaojihusisha…

Jafo:Serikali kunufaika na trilioni 2.44

………………………………….. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia kunufaika na takribani shilingi trilioni 2.44 kwa mwaka kutokana na Biashara ya Kaboni. Amesema hayo leo Julai 14, 2023 wakati akifungua Majadiliano…

kamisheni ya bonde mto Songwe yajipanga ujenzi wa bwana la maji

Waziri wa Maji Tanzania na Mwenyekiti Mwenza wa Baraza la Mawaziri Bonde la Mto Songwe Jumaa Aweso ameongoza mkutano wa pili wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe. Waziri Aweso ambaye ni Mwenyekiti Mwenza na Mwenyeji ameshirikiana na Mwenyekiti mwenza…

Daktari aliyetoa siri ya mgonjwa kuchukuliwa hatua

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuelekeza Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu kushughulikia maadili ya kitabibu kwa madaktari wanaokiuka taratibu za kitabibu na kutoa taarifa za faragha za wagonjwa hadharani. Ummy ametoa maelekezo hayo kufuatia taarifa iliyotolewa na Mganga…