Category: Habari Mpya
Lusinde:Maoni Iliyopata Serikali sakata la bandari yanatosha Ikafanye kazi
Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Simiyu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Livingstone Lusinde ameitaka serikali kuyafanyia kazi maoni yaliyotolewa na Watanzania wenye nia njema kuhusu sakala la bandari ya Dar es Salaam na kuyafanyia kazi. Lusinde amebainisha hayo wakati akizungumza…
Rais Samia awaapisha viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Serikali Zanzibar kuzijenga upya mahakama zote Unguja, Pemba
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itazijenga upya Mahakama zote za Zanzibar Unguja na Pemba kwa bajeti ya mwaka wa Fedha, 2023/2024. Aidha, imeeleza dhamira yake ya kukamilisha miradi yote ya maendeleo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kwa sekta…
Ndumbaro: Vita ya ukatili wa kijinsia ni pana sana
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa vita ya ukatili wa kijinsia ni pana sana na imekuwa ikiwaathiri zaidi watoto na wanawake. Hayo ameyasema leo Julai 14,2023 wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wahariri na waandishi…
Rais Samia alivyoibeba Ruvuma kwenye mbolea ya ruzuku
Na Albano Midelo JamhuriMedia,Songea Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa tani 71,000 za mbolea ya ruzuku katika mkoa wa Ruvuma katika msimu wa mwaka 2022/2023. Takwimu zinaonesha kuwa kiasi hicho cha mbolea ya ruzuku…