JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bashungwa aeleza mabilioni yaliyotolewa na Serikali wilayani Karagwe

Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa katoa zaidi ya shilingi bilioni 1.27 kujenga vyumba vya madarasa, vyoo na miundombinu mingine ya shule za msingi katika halmashauri ya wilaya…

Kinana apongeza uamuzi wa Rais Samia kuunda Wizara ya Mipango

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amepongeza uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan wa kuunda wizara inayohusika na mipango. Pia, amepongeza hatua ya kuifanya Tume ya Mipango kuwa chini ya ofisi ya Rais…

Injinia Kundo ampa tano Rais Samia

Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Simiyu Mbunge wa Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu Mhandisi Kundo Mathew amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha…

Prof.Janabi aagana wataalamu mabingwa wanaokwenda India

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi ameagana na jopo la wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaokwenda nchini India kwa ajili ya masomo ya ubingwa na ubobezi. Jopo hilo linahusisha Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa Mionzi na…

JK aipongeza Serikali kampeni ya kuchangisha fedha za masuala ya UKIMWI

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kampeni maalum ya kuchangia fedha katika utekelezaji wa afua za masuala ya UKIMWI nchini ya…