JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wafungwa 29 waliokiuka masharti ya parole kurudishwa gerezani

Wafungwa 29 wamekiuka masharti ya Mpango wa Parole na kurudishwa gerezani tokea Bodi ya Parole ilipoanza kusimamia utekelezaji wa sheria zake. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema hayo leo alipokuwa akizindua Bodi ya Taifa ya Parole….

TFRA kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 586,604 hadi 800,000

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA),Dk.Stephan Ngailo amesema wanatarajia kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 586,604 mwaka 2019/2020 hadi tani 800,000 Mwaka 2020/2025 ili kuongeza uzalishaji wenye tija. Aidha mpaka kufikia…

PPRA yajipanga kudhibiti urasimu kwenye ununuzi wa Umma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikali imepanga kufanya maboresho ya sheria ya ununuzi wa umma kukidhi mahitaji ya soko, kuondoa urasimu na kuongeza uwajibikaji kwa wanaojihusisha katika ununuzi wa umma. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma…

Ridhiwani: Wanufaika wa TASAF watolewe kupitia mkutano wa vijiji

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza wataalam wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF ),kuhakikisha wanafanya uhakiki kwa kufuatilia wanufaika waliotolewa kimakosa kwenye mpango huo ili kupunguza…

PLASCO yaipa Muhimbili tanki la maji ujazo lita laki mbili

Kampuni ya PLASCO hivi karibuni itaikabidhi Hospitali ya Taifa Muhimbili msaada wa Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita laki mbili ambalo thamani yake ni sh. mil.150 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kurejesha kwa jamii. Meneja…

St Anne Marie kuwasomesha bure watakaofiwa na wazazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule na kufanya vizuri kitaaluma mwaka hadi mwaka. Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki…