Category: Habari Mpya
Miamala ya fedha yaongezeka asilimia 24 mwaka mmoja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari, amesema kati ya Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu imesajili laini za simu milioni 7.3. Amesema hayo alipozungumza na vyombo vya habari Dodoma…
Nderiananga awataka Watanzania kuunga mkono juhudi za Rais Samia
Na Mathias Canal, Moshi-Kilimanjaro Mbunge wa Viti maalumu MlUmmy Nderiananga ambaye pia ni Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) akiwa katika ziara mkoani Kilimanjaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan…
Biteko: Bagamoyo inazalisha madini ya chumvi tani 90,000 kwa mwaka
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Wilaya ya Bagamoyo,mkoani Pwani, inazalisha chumvi tani 90,000 hadi tani Laki moja kwa mwaka. Kutokana na kiwango hicho cha uzalishaji kwenye sekta ndogo ya madini ya chumvi wilayani humo, Serikali imekusudia kuweka mazingira wezeshi ambapo tayari imeshapata…
Mwanafunzi,mpenzi wake mbaroni kwa kuishi kama mke na mume
Polisi mkoani Songwe linamshikilia Lukia Magwaza (21), mkazi wa kijiji cha Shasya Kata ya Halunga, wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi (jina limehifadhiwa) aliyetakiwa kujiunga na kidato cha tano. Mwanafunzi huyo ambaye naye anashikiliwa na jeshi hilo anadaiwa kuwa…
Fisi aua mtu mmoja Mtwara, naye auawa
Wananchi wa Kijiji cha Chiwambo mkoani Mtwara wamemuua fisi wa silaha za jadi baada ya kuvamia nyumbani kwa mkazi mmoja wa kijiji hicho wakati wakiota moto ndani. Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji hicho, Maimuna Mbaya amesema kuwa tukio hilo lilitokea…
Ajali ya ndege yaua watano Poland
Ndege ndogo imeanguka kwenye uwanja wa ndege karibu na mji mkuu wa Poland Warsaw, na kuua watu watano akiwemo rubani wake, maafisa wanasema. Watu wanane pia walijeruhiwa katika ajali hiyo, polisi wanasema. Watu kumi na watatu walikuwa wameripotiwa kujikinga kwenye…