Category: Habari Mpya
Jela miaka 20 kwa kuondoa miundombinu ya gesi asilia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja washitakiwa wawili kwa kosa la kuondoa miundombinu ya gesi asilia yenye thamani ya Sh milioni 99.3 ambayo ni mali ya Shirika la…
Senyamule azindua mpango mkakati kudhibiti migogoro ya ardhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametoa wito kwa Halmashauri ya jiji la Dodoma na Kamati ya ardhi kufanya kazi kwa weledi ili kuutendea haki Mpango Mkakati wa kutokomeza kero za migogoro ya ardhi ambayo…
Serikali kujenga masoko matano ya mazao halmashauri Songea
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) enista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi zitakazo chochewa na ujenzi wa masoko ya mazao yanayotarajiwa kujengwa na Halmashauri ya wilaya ya Songea. Juhudi hizo za…
Dkt. Mpango kuanza ziara ya kikazi siku tano Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philipo Isdory Mpango anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kuanzia Julai 20,2023 hadi Julai 24,2023. Akizungumza…
Biteko:Wazalishaji chumvi waongeze uzalishaji kukidhi soko la ndani, nje’
WAZIRI wa Madini ,Dkt Dotto Biteko ametoa rai kwa wazalishaji wa chumvi nchini kuongeza uzalishaji kutoka tani 273,000 hadi tani 303,000 kwa mwaka ili kukidhi soko la ndani na nje. Rai hiyo aliitoa Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani alipofanya ziara ya…