JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Masauni: Polisi kupelekwa kwenye kata zote nchini

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia,Manyara Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema serikali inatekeleza mkakati wa kusogeza huduma za kipolisi kwa wananchi ukiwamo wa kupeleka polisi kwenye kata zote. Waziri wa wizara hiyo, Hamad Masauni amesema hayo wakati wa mkutano…

Chongolo, Ummy,Prof Kitila, watoa somo uwekezaji bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema suala la uwekezaji kwenye bandari si la Rais Samia Suluhu Hassan, lipo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema hayo mjini Korogwe, Tanga jana kwenye…

Aweso: Mradi wa Kasulu Vijiji uwe somo kwa sekta ya maji

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Makere na kurudhishwa na Utekelezaji wake na kuuzindua rasmi na kuelekeza sekta ya maji iufanye mradi huu kuwa somo la kujifunzia katika kutekeleza miradi yake. Mradi huu unahudumia…

TMA yatoa ufafanuzi uwepo wa hali ya hewa ya El Nino

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa taarifa juu ya mwenendo wa uwepo hali ya El Niño katika bahari ya Pasifiki na athari zake nchini.  Kwa Mujibu wa Taarifa ambayo imetolewa na Mamlaka hiyoleo imeeleza…

Paroko auawa kwa kupigwa na chuma kichwani Arusha

Na Mwandudhi Wetu, JamhuriMedia, Arusha  Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Karatu mkoani Arusha, Pamphili Nada, ameuwa kwa kupigwa na kitu kizito na mtu anayesadikiwa kuwa na matatizo ya  akili ambaye alilazimisha kuingia kanisani kwa madai ya kutaka kusali. Hata…

Jela miaka 20 kwa kuondoa miundombinu ya gesi asilia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja washitakiwa wawili kwa kosa la kuondoa miundombinu ya gesi asilia yenye thamani ya Sh milioni 99.3 ambayo ni mali ya Shirika la…