JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dkt.Biteko afuatilia maendeleo ya mradi uchimbaji madini ya mchanga mzito Pwani, Kigamboni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amefuatilia maendeleo ya ulipaji fidia kwa wananchi wa maeneo ya Mwasonga, Sharifu na Madege yaliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam ili kupisha eneo linalotarajiwa kujengwa mradi wa uchimbaji madini ya…

Mhagama: Kampeni ya Kill Challenge 2023 kuchochea malengo ya kuzifika sifuri tatu

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Kilimanjaro Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya Umma zinawezeshwa katika mapambano…

TCRA yabaini kupungua idadi za simu za kimataifa zinazoingia nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)kupitia Mfumo wake wa Usimamizi wa simu za ndani na kimataifa imebaini idadi ya dakika za simu za kimataifa zinazoingia nchini kupungua kutoka dakika 3,136,692 mwezi Julai 2022 hadi kufikia 2,900,165…

Siku ya mashujaa kuadhimishwa kivingine

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia ,DODOMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya kitaifa ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa ifikapo tarehe 25 Julai ya mwaka huu Jijini hapa….

Ndumbaro awashauri waandishi wa habari kuibua vitendo vya ukatili wa kijinsia

Na Stephano Mango,JamhuriMedia, Songea Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Dkt.Damas Ndumbaro amewataka waandishi wa Habari hapa Nchini kupambana na mifumo kandamizi ya ukatili wa kijinsia na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha…

‘Serikali imefanyiakazi malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za mawasiliano’

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali inafanyia kazi malalamiko yanayotolewa na wananchi kuhusu huduma za mawasiliano. Nape amesema hayo Arusha wakati anafungua kikao kazi cha siku tatu cha viongozi wa wizara na taasisi zilizo…