Category: Habari Mpya
Ridhiwani: Taaluma ya uuguzi ni kujitoa na yenye uthubutu
Na Lusungu Helela, JamhuriMedia,Chalinze Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Ridhiwani Kikwete amesema taaluma ya Uuguzi ni kazi ya uthubutu, utayari pamoja na kujitoa kwa ajili ya kuwahudumia wenye mahitaji ya kiafya huku akiwataka…
Ujenzi barabara ya lami Likuyufusi- Msumbizi waiva
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Serikali inatarajia kuanza mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nzito ya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji yenye urefu wa kilometa 124 kutoka Likuyufusi hadi Mkenda wilayani Songea mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa…
Uchunguzi ufanyike kuzuka kwa moto bonde la Mzakwe
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma kuhakikisha vinawasaka na kuwabaini wote waliohusika na uchomaji moto katika bonde la mzakwe hii. Senyamule ametoa agizo hilo jana mara baada ya kufika katika eneo…
Rungwe yamshukuru Rais Samia kufanikisha mapambano ya vifo vitokanavyo na uzazi
Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imemshukuru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufanikisha mapambano ya vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi, ambapo katika hospitali ya wilaya wanawake zaidi ya 350 wanajifungua kwa mwezi wakiwa salama na watoto. Uongozi wa wilaya hiyo…
Dk Mpango awashauri vijana kuacha kuuza viungo vya mwili
Vijana wametakiwa kuacha tabia ya kuuza viungo vyao vya mwili ikiwemo figo ili kuepukana na madhara ya kiafya. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa wito huo akiwa ziarani mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua jengo la kutolea huduma ya…
Polisi Katavi yasaka aliyemlawiti mtoto wa darasa la tatu
Polisi Mkoa wa Katavi inamsaka mtu mmoja ambaye bado hajafahamika kwa tuhuma za kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12. Tukio hilo limetokea Julai 17, 2023 katika Kijiji cha Dilifu, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi ambapo mtuhumiwa alimvizia mtoto huyo…