Category: Habari Mpya
Waziri Mkuu : Taasisi za umma zitumie mifumo ya kidijitali
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi ya kiutendaji na kuifanya Tanzania kuendana na mapinduzi ya nne ya viwanda yanayotumia TEHAMA. Amesema kuwa mifumo hiyo…
Maboresho yaliyofanywa na TANROADS kwenye mizani yadhibiti mianya ya rushwa – Mhandisi Kyamba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia TANROADS imekamilisha ujenzi wa Mzani mpya wa kisasa wa Mikumi uliopo barabara kuu ya Morogoro – Iringa, pamoja na maboresho katika mizani ya…
Kampeni chafu yaanzishwa dhidi ya Kidata wa TRA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampeni chafu imeanzishwa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata, na genge la wakwepa kodi ili kujaribu kumchafua Kamishna huyo. Genge hilo limewalipa wahuni…
Jiji la Makonda mshindi wa tatu utoaji taarifa kwa umma
Mkoa wa Arusha umekuwa mshindi wa tatu kwa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini vinavyofanya vizuri katika utoaji wa taarifa kwa umma miongoni mwa mikoa 26 ya Tanzania Bara kwa mwaka 2023/2024. Tuzo hizo zilitangazwa na Mkurugenzi wa Habari Maelezo na Msemaji…
Kamati ya Siasa Nkasi yampa tano DC Lijualikali
Na Israel Mwaisaka, JakhuriMedia, Nkasi Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Nkasi imempongeza mkuu wa Wilaya Nkasi Peter Lijualikali lwa namna anavyosimamia utekelezaji wa ilani ya CCM . Pongezi hizo zimetolewa jana na Mwenyekiti wa CCM…