Category: Habari Mpya
Zambia yavutiwa na mfumo wa masoko ya madini nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Sekta ya Madini nchini Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa kwa nchi nyingi za Afrika kwa namna ilivyoweza kurasimisha sekta ndogo ya uchimbaji madini na hivyo kupelekea wachimbaji wadogo kufanya shughuli zao kupitia mfumo ulio rasmi ambapo…
TANAPA kulipisha wanaotumia majina ya wanyama
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, DodomaKAMISHNA wa Uhifadhi ,Hifadhi za Taifa Tanzania ( TANAPA ) William Mwakilema amesema mtu yeyote anayetaka mnyama aitwe kwa jina lake atatakiwa kulipia gharama ya kiasi cha shilingi mil.5 ,lakini pia anayetaka kumuasili mnyama atatakiwa kulipia…
Watu 43 wafanyiwa upasuaji Bombo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha viungo iliyoanza Julai 17, 2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Tanga ‘Bombo’ imefanikiwa kuwafanyia upasuaji watu 43 kati ya 86 hadi kufikia leo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa…
Washiriki mkutano wa IAWP waanza kuona mafanikio
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Mkutano wa Mafunzo wa Jumuiya ya askari Polisi wa Kike wa Duniani Ukanda wa Afrika (IAWP – International Association of Women Police – African Chapter) utafungua milango ya mashirikiano katika…
Rais Samia kuweka jiwe la msingi viwanja vya Mashujaa Mtumba jijini Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yamekamilika katika eneo la Mtumba jijini Dodoma huku Serikali ikitoa maelekezo kwa mikoa yote nchini kufanya maadhimisho hayo kwa kufanya usafi, upandaji miti na shughuli nyingine…
Majaliwa atoa siku saba kwa TARURA, DAWASA kukamilisha barabara Muhimbili
………………………………………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi…