Category: Habari Mpya
UNDP kuendelea kushirikiana na MAIPAC miradi ya uhifadhi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu,Arusha Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP) kupitia Programu ya miradi midogo(SGP) nchini, limeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Pembezoni(MAIPAC) katika kutekeleza miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi…
Kunenge: Wananchi tushirikishane kufichua vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ameeleza ni wajibu kwa kila mtu kushirikiana kulinda amani kwa kuwa sehemu ya kufichua vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani. Ameeleza, kuna wakati zinatokea chokochoko kwenye maeneo yetu ni jukumu…
Wizara ya Elimu, Benki ya Dunia wajadili mageuzi sekta ya elimu
Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamekutana kwa mara ingine na kufanya majadiliano na ujumbe wa Benki ya Dunia juu ya ushirikiano katika utekelezaji wa mageuzi makubwa ya elimu nchini. Akizungumza katika kikao hicho Waziri wa Elimu, Sayansi…
Wawili wahukumiwa jela maisha kwa ubakaji watoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora WATU wawili wakazi wa Wilaya ya Nzega na Uyui mkoani Tabora wamefikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la ubakaji watoto. Kamanda wa Jeshi la…
Ridhiwani awaasa wana-Chalinze kuondoa tofauti, kukimbilia maendeleo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewaasa Wanachalinze kuondoa tofauti ili kufikia maendeleo ya kweli wanayoyahitaji. Ridhiwani ambae pia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora alitoa rai hiyo wakati,…