JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania yachaguliwa makamu mwenyekiti jopo la kimataifa la sayansi ya mabadiliko tabianchi

Tanzania kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dkt. Ladislaus Chang’a, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi…

DED Msalala atamba kuvuka lengo makusanyo ya mapato 2023/2024

Na Mwandushi Wetu, JAMHURI MEDIA Mkurugernzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo imepanga kuvuka lengo la makusanyo ya mapato yaliyokusanywa katika Mwaka wa Fedha 2022/23.Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Katimba aliyeteuliwa…

Serikali yamwaga mabilioni kujenga shule mpya Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Deogratias Ndejembi amesema serikali ya Awamu ya sita mwaka huu imetoa zaidi ya shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya shule za…

Wagonjwa 70 kuzibuliwa mishipa ya damu miguu iliyoziba

Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao Suhail Bukhari kutoka Hospitali ya BLK iliyopo nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya damu ya miguu (Peripheral Interventions) ambayo…