JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ofisa wa TRA afariki kwa kujirisha ghorofani Tanga

Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Arusha, Richard Walalaze (35) amekutwa amefariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani jijini Tanga. Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa PolisiMkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe amesema kuwa mfanyakazi huyo amejirusha kutokaghorofa ya pili ya…

Ndumbaro afurahishwa wananchi kujitokeza kupata msaada wa kisheria Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMdia,Songea Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Songea mjini Dkt. Damas Ndumaro ameonesha kufurahishwa na jinsi wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi katika maeneo mbalimbali ya mkoani humo kwa ajili…

Majaliwa akaribisha wawekezaji kwenye  mbolea

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Ametoa mwaliko huo wakati akizungumza kwenye mjadala uliohusu Uimarishaji wa Soko la Mbolea kama njia ya kuondoa njaa barani Afrika uliofanyika kwenye…

TASAC kuendelea kuimarisha udhibiti huduma za usafiri majini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi wa Shirika la uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)Kaimu Abdi Mkeyenge amesemakatika kipindi cha Julai, 2022 hadi Juni, 2023 TASAC imeendelea kuimarisha udhibiti huduma za usafiri majini na kuhakikisha kuna ushindani sawia miongoni mwa watoa…

Wanajeshi wa Niger watangaza mapinduzi kwenye

Wanajeshi katika nchi ya Afrika Magharibi ya Niger wametangaza mapinduzi kwenye televisheni ya taifa. Walisema wamevunja katiba,wamesimamisha taasisi zote na kufunga mipaka ya taifa. Rais wa Niger Mohamed Bazoum amekuwa akishikiliwa na wanajeshi kutoka kwa kikosi cha walinzi wa rais…