Category: Habari Mpya
Rais Mwinyi azionya taasisi zinazokwepa mifumo ya kisasa kwenye utendaji wao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezionya taasisi za Serikali zinazokwepa matumizi ya mabadiliko ya mifumo ya kisasa kwenye utendaji wao. Amesema, kuna baadhi ya taasisi zinakiuka matumizi na…
Tani 13 za dawa za kulevya za kamatwa, watuhumiwa 4987 mbaroni
Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya hapa nchini limefanikiwa kukamata tani 13 .717 za dawa za kulevya pamoja na watuhumiwa 4987 katika maeneo mbalimbali…
Profesa Mkenda atoa agizo kwa TEWW kutoa elimu endelevu bila ukomo
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adlof Mkenda a amelitaka Baraza la taasisi ya Elimu ya watu wazima(TEWW) kuhakikisha utoaji wa elimu bila ukomo unakua endelevu Ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam katika ziara yake…
Kanda ya Mashariki kuwa kanda ya mfano katika uwekezaji nchini
Mwamvua Mwinyi, JanburiMedia,Pwani Kanda ya Mashariki , mikoa minne ya Pwani, Dar es Salaam, Morogoro na Tanga, imedhamiria kuwa Kanda ya Mfano katika uwekezaji kutokana na uwepo wa Fursa nyingi kwenye sekta ya kilimo,mifugo, na uvuvi. Dhamira hiyo inakwenda sambamba…
Ndunguru akemea lugha kejeli kwa wagonjwa
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Adolf Ndunguru, amewasihi wauguzi wa kada ya utabibu,wakunga na wauguzi kutumia mitandao ya kijamii vizuri bila kwenda kinyume na maadili ya fani yao na nchi…
Serikali yainusuru shule ya msingi Mwalivundo kufungwa
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani, amesema Serikali imeinusuru shule ya msingi Mwalivundo kwa kupeleka fedha kujenga madarasa,choo kwa gharama ya zaidi ya milioni 120 ,shule ambayo ilikuwa kwenye hatari ya kufungwa kutokana na…