Category: Habari Mpya
Mandonga apata kipigo tena
Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga, maarufu kwa jina la Mandonga Mtu Kazi, amepigwa tena na mwandondi mkongwe wa Uganda Moses Golola. Mandonga alitolewa kwa ‘Technical Knock Out’ Jumamosi, Julai 29 katika pigano lililofanyika jijini Mwanza, Tanzania. Watazamaji walikuwa wamejawa na…
Bilioni 764/- kuunganisha Ruvuma na Morogoro kwa lami
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Jumla ya shilingi bilioni 764 zinatarajia kutumika katika kutekeleza ujenzi wa barabara itakayounganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Morogoro. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mlilayoyo…
Ruvuma kuzindua wiki ya unyonyeshaji maziwa Kata ya Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuzindua wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama Duniani,Agosti Mosi,2023 katika Kituo cha Afya kata ya Ruvuma kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki…
Katibu Mkuu UWT awataka wanawake kusimamia maadili mema ya malezi
Na Cresensia Kapinga,Songea. KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dkt. Philis Nyimbi amewataka wazazi na walezi nchini kusimamia maadili mema ya malezi kwa watoto wao kwa kuwa hivi karibuni kumekuwepo kwa vitendo vilivyokithiri vya mmomonyoko wa maadili jambo…
Mbarawa: Bandari lazima ziongozwe na kuendesha kimkakati
Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Mwanza Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa gati na miundombinu muhimu katika bandari za Kibirizi na Ujiji mkoani Kigoma ili kuongeza ufanisi na kuvutia wasafirishaji wengi kutumia bandari hizo zinazotoa huduma katika…
Dkt. Mpango ataka NDC kujikita katika elimu ya kupambana na matishio ya ulimwengu.
Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA, Dar Es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amekitaka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutilia mkazo masomo yaliyojikita katika utatuzi wa changamoto na tafiti zenye mwelekeo…