Category: Habari Mpya
Rais Samia apeleka neema ya maji Kaliua
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua wamepongeza juhudi za Serikali ya Awamu Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwatatulia changamoto ya maji pamoja na kuwapokea wakandarasi wa ujenzi wa maji miji 28 waliokabidhiwa rasmi eneo la…
Waziri Mkuu awapongeza Watanzania walioshiriki kongamano la uchumi Urusi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapongeza wafanyabiashara 19 kutoka Tanzania ambao walishiriki maonesho ya kibiashara kwenye Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na Kibinadamu la Afrika na Urusi lililomalizika Julai 28, mwaka huu. Wafanyabiashara hao wanamiliki makampuni yanayohusika na sekta za elimu,…
‘Wenye ulemavu wana haki sawa na wengine’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu kutowaficha watoto wao ndani akisema kufanya hivyo ni kuwanyima haki zao za msingi. Ummy…
TIC mbioni kuanzisha dirisha la kielektroniki kwa wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KITUO cha Uwekezaji nchini (TIC), kimesema kiko katika hatua za mwisho za kuweka mfumo utakaowawezesha wawekezaji kupata huduma za mahala pamoja kwa njia ya kielektroniki utakaojulikana kama Tanzania Investment Electronic Window. Kukamilika kwa mfumo huo kutawawezesha…
Mwenge wa Uhuru wazindua vyumba 14 vya madarasa Shinyanga
Mwenge wa Uhuru umezindua vyumba 14 vya madarasa vilivyojengwa kwa thamani zaidi ya sh millioni 470 katika shule ya sekondari Kagongwa iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga. Uzinduzi huo umefanyika leo baada ya kiongozi wa mbio hizo kitaifa, Abdalla Kaim…
Mandonga apata kipigo tena
Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga, maarufu kwa jina la Mandonga Mtu Kazi, amepigwa tena na mwandondi mkongwe wa Uganda Moses Golola. Mandonga alitolewa kwa ‘Technical Knock Out’ Jumamosi, Julai 29 katika pigano lililofanyika jijini Mwanza, Tanzania. Watazamaji walikuwa wamejawa na…