JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watatu mbaroni kwa kumteka mtoto na kutaka wapewe milioni 20

Na Abel Paul , Jeshi la Polisi- Kilimanjaro Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 5 mwanafunzi wa shule ya awali Isaiah Samartan iliyopo jijini Mbeya aliyeripotiwa kupotea Mei 15,2024 muda wa saa 11:45…

Majaliwa ataka wavamizi wa rdhi kuchukuliwa hatua kama jinai nyingine

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa amezitaka taasisi zinazoshughulika na masuala ya ya jinai kuhakikisha zinachukua hatua dhidi ya wavamizi wa ardhi kama jinai nyingine. Mhe. Majaliwa ametoa kauli hiyo…

TAPSEA jiendelezeni kitaaluma kuendana na mabadiliko ya teknolojia – Dk Biteko

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto wa makatibu mahsusi nchini  kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia sambamba na kuboresha utendajikazi wao. Ameyasema hayo leo…

Wagombea 14 wateuliwa kuwania kiti cha ubunge Jimbo la Kwahani

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia,Unguja JUMLA ya wagombea 14 kutoka vyama vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa kuwania kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Bi. Safia…

Vijana wa BBT – LIFE waoneshwa vitalu, Rais Samia atajwa kwa mchango wake mkubwa sekta ya mifugo

Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Karagwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kutafsiri ndoto halisi ya wingi wa mifugo nchini katika kubadilisha mfumo wa maisha kwa watanzania kupitia sekta hiyo. Akizungumza (21.05.2024) wakati…

Dk Biteko mgeni rasmi mkutano wa kitaalaum wa makatibu mahsusi Tanzania

Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unafanyika leo, Mei 23, 2024 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mkutano huo ulioanza…