JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mwenge kuzindua miradi 59 yenye thamani ya bil.24.2/- Geita

Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 zimewasili mkoani Geita kutokea mkoani Shinyanga ambapo utakimbizwa katika halmashauri sita, kutembelea, kukagua na kuzindua miradi 59 yenye thamani ya Sh bilioni 24.2. Akizungumuza wakati wa mapokezi ya mwenge katika kijiji cha…

Dk Mpango avutiwa na wabunifu wa COSTECH Nanenane Mbeya

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, amekiri kuvutiwa na uwezeshaji kwa wabunifu wazawa unaofanywa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), aliyoitaka kuhakikisha inaenda mbali zaidi kwa kukifanyia kazi kilio chao cha kutaka kuwapatia Mafunzo ya Mifumo ya Kielektroniki, Ili…

Serikali ilivyodhamiria kuifungua Wilaya ya Nyasa

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Mbambabay Serikali imetenga shilingi bilioni 22 kuanza kujenga daraja la Mitomoni katika mto Ruvuma linalounganisha wilaya ya Nyasa na Songea mkoani Ruvuma. Haya yalisemwa hivi karibuni na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Gofrey Kasekenya wakati…

NMB yadhamini maonesho ya Nane Nane kwa mil.80/-

BENKI  ya NMB yadhamini Maonesho ya Nane Nane kwa Shilingi Mil. 80/-Kwa kuthamini mchango wa kilimo katika ukuaji wa uchumi nchini, Benki ya NMB imedhamini Maonesho ya Nane Nane kwa kutoa shilingi milioni 80. Maonesho haya makubwa ya wakulima Nane…

Shughuli ya kuwaokoa 13 waliozama ziwa Victoria yakwama

Watu 13 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine 14 wakinusurika kifo baada ya kuzama ziwa Victoria eneo la Mchigondo kata ya Igundu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Igundu, Sumila Nyamkinda Kafumu…