JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘Atakayeuza sukari zaidi ya sh 3200/- achukuliwe hatua’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Ashatu Kijaji awataka Maafisa Biashara wote nchini kukagua bei ya Sukari duka kwa duka na atakae kutwa na bei zaidi ya shilingi 3,200 achukuliwe hatua za kisheria. Waziri Kijaji…

MOI kutibu kifafa kwa upasuaji

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI),ipo mbioni kuanzisha huduma ya kutibu ugonjwa wa kifafa kwa njia ya upasuaji na utengenezaji wa mkono wa umeme ambapo wagonjwa watano wameshahudumiwa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI,…

Watu wanne wafariki katika ajali ya gari Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Watu wanne wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonganga uso kwa uso na gari aina ya Scania katika Kijiji cha Mapatano,kata ya Mbwewe Wilaya ya Kipolisi Chalinze. Ajali hiyo inaelezwa kwamba ilitokea saa 8.30 usiku wa…

Global Fund kuendelea kushirikiana na Tanzania kufikisha huduma bora za afya nchini

GENEVA, USWISI Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Rasilimali Fedha wa Global Fund Bi. Ada Faye katika kikao kilichofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo zilizopo Geneva, Uswisi. Lengo la mazungumzo hayo…

Serikali yasikiliza kilio cha waliokuwa wafanyakazi wa Tanzania Plantation LTD

Na Mwandishi Wetu, Arumeru Serikali imesikiliza kilio cha waliokuwa wafanyakazi katika shamba la Tanzania Plantation lilipo wilaya za Arusha na Arumeru mkoa wa Arusha kwa kuwapatia maeneo kwa ajili ya kujenga makazi, kilimo pamoja na ufugaji. Akizungumza na wananchi wa…

Mbunifu wa mavazi azindua tai kirungu

Na Mwandishi Wetu, Mbunifu wa mavazi nchini mwenye kufanya kazi za Sanaa ya ubunifu wa mavazi, Didas Katona akifahamika zaidi kama ‘Katona Kashona’, anatarajia kuzindua Tai kirungu ((Bow Tie), tukio litakalofanyika Agosti 4, ukumbi wa Club The Marz zamani Nyumbani…