Category: Habari Mpya
Waziri Mabula akagua ujenzi mradi soko la madini ya Tanzanite Mererani
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa soko la Madini ya Tanzaniate katika mji mdogo wa Mererani wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. Ujenzi wa mradi wa soko…
NHC yavuka malengo ya mapato,mauzo ya nyumba yafikia bil 121.95/- kwa mwaka 2022
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limefanikiwa kuongeza mapato kutoka sh bilioni 114.42 kwa mwaka 2021 hadi sh bilioni 257.47 mwaka 2022 huku mauzo ya nyumba yakipanda kutoka sh bilioni 29.33 mwaka 2021 hadi kufikia sh…
Dk Biteko ateta na kampuni ya Sotta Mining Dodoma
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko leo Agosti 3, 2023 jijini Dodoma amekutana na uongozi wa juu wa Kampuni ya Sotta Minerals Corporation Limited ambayo ni ya ubia Kati ya Serikali na kampuni ya Orecorp Tanzania limited ya Australia inayosimamia…
Senyamule atoa wiki mbili kukamilisha miradi Mpwapwa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa Shule ya Msingi Msagali ndani ya muda wa wiki mbili baada ya kutokamilika kwa muda uliopangwa awali wa Juni 30, 2023. Senyamule ameyasema…
MSD yafanikiwa kupunguza rufaa za wagonjwa Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mafia Bohari ya Dawa (MSD) imesema usambazaji wa dawa na vifaa vya kisasa Kisiwani Mafia mkoani Pwani kufanikiwa kupunguza rufaa za wagonjwa kutoka kisiwani humo kwenda kutibiwa jijini Dar es Salaam. Akizungumza jana kisiwani Mafia, Afisa…