Category: Habari Mpya
Tume yatangaza uchaguzi mdogo wa Mbarali na kata sita
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya na kata sita za Tanzania Bara utafanyika Septemba 19, 2023. Akisoma taarifa kwa umma jijini Dodoma Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima amesema wagombea watachukua fomu…
Rais Samia aombwa kuwa kiongozi kinara mapambano ya TB duniani
Geneva, Uswisi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameombwa kuwa miongoni mwa viongozi kinara katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu Duniani kufuatia utekelezaji bora wa afua zinazolenga kutokomeza ugonjwa huo hadi ifikapo 2030….
NMB yatenga bil.20/- BBT, yamwaga mikopo kwa wakulima
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana na wanawake kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla ya Sh. bilioni 20 pamoja na kuwaelimisha vijana na wanawake hao namna ya kupata mikopo…
Mradi wa ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi…
Waziri Mabula akagua ujenzi mradi soko la madini ya Tanzanite Mererani
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa soko la Madini ya Tanzaniate katika mji mdogo wa Mererani wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. Ujenzi wa mradi wa soko…