Category: Habari Mpya
Serikali kuokoa biI.33/- kupitia kukamilika kiwanda cha gloves
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI inatarajia kuokoa shilingi bilioni 33 inayotumia kuagiza mpira wa mikono (Groves) nje ya nchi baada kukamilisha miundombinu ya kiwanda cha bidhaa hiyo kilichopo Idofi mkoani Njombe na kuanza uzalishaji ndani ya mwaka huu wa…
Dk Biteko:Tusiruhusu viongozi wa nchi Yetu wakatwezwa utu wao
Na Mathias Canal, Katoro-Geita Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko (Mb) ambaye pia ni Waziri wa Madini amekemea vikali kejeli, kutweza utu wa viongozi na kauli za kuudhi ikiwemo matusi. Amesema kuwa Rais…
Biteko ampa heko Rais Samia ujenzi wa ICU wilaya ya Bukombe
Na Mathias Canal, Bukombe-Geita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutoa fesha kiasi cha shilingi 300,000,000 kwa ajili ya Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura katika hospitali ya Wilaya ya Bukombe. Mradi…
CCM Zanzibar yajipanga majimbo yote kubaki 2025
Na Haji Mtumwa, Zanzibar Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Hemed Suleiman Abdulla amesema Chama Cha Mapinduzi kimejipanga kuhakikisha Majimbo yote yanabaki kuwa chini ya CCM ifikia Uchaguzi wa Dola wa mwaka 2025. Mjumbe huyo wa…
Katibu Mkuu: Serikali yaunga mkono UNI AWARDS
Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani…
Lori la mafuta lapata ajali na kuwaka moto Ubungo
Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA Lori linalosafirisha Mafuta limepata ajali na kuwaka moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi yaendayo Kasi cha Kibo barabara ya morogoro, jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika eneo la tukio…