Category: Habari Mpya
Kituo cha utafiti Polisi na TICD wadhamiria kuleta mabadiliko ya utendaji wa Polisi
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi – Dar es Salaam Kituo cha Utafiti cha Jeshi la Polisi kilichopo Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam kwa kushirikina na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeendelea na mafunzo…
Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutekeleza majukumu kwa ufanisi
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Mhe. Jacobs Mwambegele amewataka wasimamizi wa uchaguzi nchini kufanya kazi kwa weledi ili chaguzi ziwe nzuri, zenye ufanisi na amani. Jaji Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 08 Agosti, 2023 Mkoani Morogoro,…
Rais Samia aipa kongole Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia BBT-LIFE
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa namna inavyotekeleza Programu ya Kielelezo “Jenga Kesho Iliyo Bora” (BBT – LIFE) na kuwataka vijana waliopo kwenye…
Mizengo Pinda ahimiza elimu ya biashara ya kaboni
WAZIRI Mkuu Mstaafu,Mizengo Pinda ametoa wito kwa Ofisi ya Makamu wa Rais kuendelea kutangaza fursa za Biashara ya Kaboni ili kuwawezesha wananchi kupata mwako wa kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti hivyo kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Ametoa rai…
Kiwanda cha KEDA Chalinze chapiga tafu ujenzi wa shule ya Jakaya Kikwete
Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia,Chalinze Kiwanda cha kutengeneza Marumaru cha KEDA kilichopo Chalinze, mkoani Pwani, kimetoa Boksi 1,750 zenye thamani ya sh.milioni 46 ikiwa ni mchango kwa shule za sekondari za Jakaya Mrisho Kikwete na Miono High School zilizopo halmashauri ya…
Serikali kuokoa biI.33/- kupitia kukamilika kiwanda cha gloves
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI inatarajia kuokoa shilingi bilioni 33 inayotumia kuagiza mpira wa mikono (Groves) nje ya nchi baada kukamilisha miundombinu ya kiwanda cha bidhaa hiyo kilichopo Idofi mkoani Njombe na kuanza uzalishaji ndani ya mwaka huu wa…