Category: Habari Mpya
Upasuaji kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua wafanyika Mloganzila
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo. Upusuaji huo umefanywa na…
Tanzania na Malawi wajadili mradi wa umeme Mto Songwe
Na Zuena Msuya, JamhuriMedia, Dar Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa, Serikali ya Tanzania na Malawi zimeanza majadiliano ili kuona uwezekano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya Maji ya Mto Songwe pamoja…
Hospitali ya Rufaa Dodoma hupokea wagonjwa 1500 kwa siku
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Kutokana na maboresho ya Sekta ya Afya nchini,Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodomainapokea wagonjwa zaidi ya 1,500 kwa siku na uwezo wa kulaza wagonjwa 250 hadi 350 kwa wakati mmoja. Hayo yameelezwa leo Agosti…
Dk Mpango ataka ufumbuzi vifungashio Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Makamu wa Rais,Dk. Philip Mpango, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa pamoja na Wizara ya Fedha naMipango, Mamlaka ya Mapato (TRA) na kupata ufumbuzi wa haraka kuhusu tozo mbalimbali za vifungashio vinavyotumika katika bidhaa…
Dkt. Shelukindo akutana kwa mazungumzo na balozi wa Vietnam
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam, nchini Nguyen Nam Tien katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, tarehe 9 Agosti 2023….
Majaliwa:Wekeni kipaumbele kuendeleza vijana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na wataalamu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa waweke kipaumbele katika kuendeleza vijana ili washiriki kikamilifu kwenye shughuli za kuinua uchumi na kuwapatia ujuzi na mbinu za ujasiriamali. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesisitiza kila mkoa…