Category: Habari Mpya
Watanzania waaswa kutumia fursa ya msaada wa kisheria kutatua migogoro
📌 Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia 📌 TEHAMA kutumika utoaji haki 📌Watoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…
Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 13
Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga imemhukumu jela kifungo cha maisha, Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula, Kata ya Ngomeni kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo juzi, Hakimu Mkazi wa Mahakama…
Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa safari ya treni ya mwendokasi ( SGR) kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza Julai 25, 2024. Mbarawa amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kukagua…
Dereva wa Shabiby akamatwa kusababisha ajali iliyojeruhi 22
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU, Said Malugula akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi abiria 22, baada ya basi hilo kupinduka eneo la Kihonda kwa Chambo mkoani Morogoro. Kamanda wa…
Serikali imedhamiria kuendelea kutekeleza agenda ya uchumi wa viwanda – Dk Biteko
📌Tanzania na Uganda kuendelea kushirikiana kukuza biashara na diplomasia 📌 Serikali kuhakikisha upatikanaji wa mafuta na gesi kwa bei nafuu na kuongeza ushiriki wa wananchi katika uchumi wa viwanda 📌Serikali za Tanzania na Uganda zaingia makubaliano kuimarisha sekta ya nishati…
JKT lawaita vijana kujiunga na Mafunzo kwa mujibu wa sheria
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma JESHI la kujenga Taifa (JKT )limetoa wito kwa Vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha sita kwa Mwaka 2024 kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria ili kujengewa uzalendo ,…