JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Prof.Janabi ashauri klabu za soka kuhakiki afya za wachezaji kabla ya usajili

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amezishauri Klabu za soka nchini kufanya uhakiki wa afya za wachezaji kabla ya kuwasajili kuepuka kupoteza gharama pindi wanapopata madhara kiafya. Prof. Janabi ameeleza hayo…

TEA kuendelea kuwanufaisha vijana

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MAMLA ya Elimu Tanzania (TEA), kupitia mradi wa Mfuko wa kuendeleza ujuzi imefanikiwa kuwafikia vijana 49,063 kupitia mafunzo katika sekta za kilimo,uchumi, TEHAMA , Utalii, nishati,ujenzi na uchukuzi. Imesema vijana walionufaika ni pamoja na vijana…

Waislamu waigomea Serikali mtaala wa elimu dini mseto

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar Taasisi na jumuiya za kiislamu Tanzania, haikubaliani na hatua ya Serikali kusimamia dini ya kiislamu na kuifundisha Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 10, 2023, Amiri Jumuiya na Taasisi za Kislamu Tanzania Alhajj Sheikh…

Jeshi la Polisi litaendelea kushirikisha jamii kutokomeza uhalifu nchini

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Tanga Jeshi la Polisi limesema litaendelea kushirikisha Jamii katika kupambana na uhalifu katika maeneo mabalimbali hapa Nchini huku likipongeza wadau wenye mapanzi mema na Jeshi hilo kwa mashirikiano wanayoyaonyesha katika Mapambano dhidi ya uhalifu…