JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watoto wawili wa familia moja wauawa kwa kunyongwa

Watoto wawili wa familia moja wameuawa kwa kunyongwa na kisha kuning’inizwa chumbani walimokuwa wakilala na wazazi wao katika kijiji cha Mwantemi kata ya Kinamweli wilayani Itilima mkoani Simiyu. Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu ACP Edith Swebe amethibitisha kutokea kwa tukio…

Safari ya wachimbaji nchini China kuleta tija- Dk. Kiruswa

#Dkt. Kiruswa ameiaga timu ya watu takribani 100 kuelekea China Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameutaka ujumbe wa wadau wa Sekta ya Madini wapatao 100 wakiwemo wachimbaji wadogo, wachimbaji wa Kati, Wafanyabiashara wa madini na watoa huduma migodini…

DAWASA kuendelea kuwafikia wananchi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kutokana na ukamilishwaji wa miradi ya kimkakati na miradi midogo midogo ya kusogeza huduma kwa wananchi,Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweza kufikia zaidi ya wakazi laki saba ambao hapo…

TCDC yabaini mapungufu katoka utendaji kwa baadhi ya vyama vya ushirika

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma TUME ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imekuwa ikifanya ukaguzi wa mara kwa mara katika Vyama vya Ushirika lengo likiwa ni kubaini uzingatiwaji wa matakwa ya Sheria, Kanuni na Miongozo mbalimbali inayohusiana na utendaji wa…

Hospitali zote nchini kuwa na wodi maalumu za uangalizi wa watoto njiti

Na.l WAF – Dar es SalaamSerikali kupitia Wizara ya Afya inafanya juhudi za kuhakikisha Hospitali zote nchini zinakua na wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti (NICU) na kushuka hadi katika ngazi ya jamii. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa…