JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Aukumiwa kwenda jela maisha wa kumbaka mtoto

Noel Fungo (22) mkazi wa kijiji cha Ikondo jimbo la Lupembe wilayani Njombe,amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 9. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, John Makuri Imori, ameeleza hukumu hiyo…

DKT. Kikwete asisitiza amani nchi za SADC

Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri…

Koka: Kukamilika zahanati ya Saeni, mkombozi kwa wakazi Kata ya Misugusugu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Changamoto kubwa ya ukosefu wa huduma za kiafya iliyokuwa ikiwakabili wakazi wa mitaa ya Saeni,Zogowale na Jonung”ha ,kata ya Misugusugu,Kibaha Mkoani Pwani,imebaki historia baada ya ujenzi wa mradi wa Zahanati ya Saeni kukamilika. Changamoto hiyo…

Dk.Biteko:Rais Samia afanya mageuzi makubwa miradi ya maendeleo Bukombe

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Bukombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kiongozi mahiri katika kipindi cha muda mfupi huku akionyesha mageuzi makubwa ya Maendeleo. Katika kipindi cha muda mfupi aliokaa madarakani kazi aliyoifanya…

Waziri Mabula ahimiza matumizi ya kliniki za ardhi Ludewa

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaelekeza watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha wanakuwa na kliniki za ardhi kama ilivyoelekezwa na wizara yake ili kutatua changamoto za sekta ya ardhi. Dkt.Mabula ametoa maelekezo hayo…