JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

China kuendelea kushirikiana na Tanzania katika sekta ya nishati nchini

Na Zuena Msuya, JamhuriMedia, Dar Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea kuwekeza katika kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati nchini. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa…

Mil. 331/- yajenga madarasa kuondoa msongamano wanafunzi shule ya msingi Mambamba

Na James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI) Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 331 kupitia mradi wa BOOST zilizojenga madarasa yatakayotatua changamoto ya msongamano wa wanafunzi katika…

Majaliwa: Tuuze korosho zilizobanguliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima zao la korosho wafanye kilimo cha kibiashara kwa kuacha kuuza korosho ghafi na badala yake wauze zilizobanguliwa ili kujiongeza tija zaidi. “Wakati wa kubadilika umefika, tutumie fursa hii kujenga viwanda vya kubangulia korosho na…

Rasilimali watu na fedha vyapewa kipaumbele SADC

Na Peter Haule, WF, Luanda-Angola Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imejipanga kuwekeza katika rasilimali watu na fedha ili kuchochea maendeleo ya sekta ya viwanda ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu…

Naibu Waziri Ummy atoa wito kwa wananchi kutembelea vivutio vya utalii

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia na (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga ametoa rai kwa wananchi, Taasisi na Wizara kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutembelea vivutio vyetu vya utalii wa ndani. Wito huo umetolewa wakati Viongozi na…