JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Yakubu: Waigizaji nchini wanamchango katika kuwaondolea watu ‘stress’

Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao na baadhi ya viongozi wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Salum Abdul Mchoma…

Rais Samia azindua Safina House Dodoma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Angikana Central Dodoma (DCT) lililopewa jina la Safina House huku akiweka msimamo wake Katika kuimarisha amani na…

Mashindano ya Polisi Jamii Cup DPA kuchangia Benki ya Damu salama

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kimeandaa mashindano ya Polisi Jamii yatakayo shirikisha wananchi pamoja na askari wa Jeshi hilo lengo likiwa ni kuwaleta…

Daktari feki ahukumiwa miaka 15 jela Tabora

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemhukumu Amos Mathias, mkazi wa Kijiji cha Nhungulu, Wilaya ya Nzega mkoani hapa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia kwa kujifanya daktari. Hukumu hiyo imetolewa juzi na…

Watumishi Mahakama wapata mafunzo mfumo mpya wa manunuzi ‘NeST’

Na Mary Gwera, JamhuriMedia, Mahakama Mahakama ya Tanzania kupitia Kitengo cha Maboresho (JDU) imeandaa Mafunzo ya kujenga uelewa kwa Watumishi wake kuhusu matumizi ya Mfumo mpya wa Serikali wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya Mtandao unaojulikana kama (NeST). Akifungua…