Category: Habari Mpya
Mgomo wa madereva Arusha wamng’oa ofisa Latra
Mgomo wa madereva wa daladala na bajaji iliyokuwa ikiendelea katika jiji la Arusha na kushindwa kupatiwa ufumbuzi imedaiwa kumng’oa aliyekuwa Ofisa wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini( LATRA) Mkoa wa Arusha, Amani Mwakalebela. Imeelezwa kuwa ofisa huyo alishindwa kutatua migogoro…
Dk Tulia :Mbeya msiingizwe kingi na wapinzani
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi hususani wa Jimbo lake wajihadhari na watu wenye nia ovu ya kutaka kuwagombanisha na Serikali yao ili wasishiriki katika…
Madaktari bingwa wa macho waweka kambi Mbarali
Madaktari Bingwa wa macho wameweka kambi ya wiki moja Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwatafuta wagonjwa wenye matatizo ya mtoto wa jicho ambapo mpaka sasa wagonjwa 20 wamefanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho kwa siku ya leo….
NHC yatawangazia kiama wadaiwa sugu
Shirika la nyumba la Taifa (NHC) limeingia makubaliano na waratibu wa taarifa sahihi za waombaji wa mikopo ‘CREDIT INFO BUREAU’ ili kupeleka majina ya wadaiwa sugu wasiweze tena kupata mikopo kwenye taasisi za kifedha ikiwemo mabenki. Hayo yamesemwa leo Agosti 15, 2023…