JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Muuguzi anayedaiwa kubaka mjamzito aachiwa huru

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Tabora Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilayani Sikonge mkoani Tabora imemwachia huru Afisa Muuguzi daraja la II wa Hospitali ya wilaya hiyo Rayson Duwe aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la kubaka mama mjamzito aliyekuja kupata matibabu hospitalini hapo….

TFS: Ubunifu wa Royal Tour umeongeza idadi ya watalii nchini

Kufuatia jitihada zinazochukuliwa na Serikali ikiwemo ubunifu wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuandaa filamu ya “Tanzania the Royal Tour” ambayo imetangaza nchi ndani na nje ya nchi kwa kiasi kikubwa, Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…

Wizara ya Maliasili na Utalii yarithisha historia ya Vita vya Majimaji kwa jamii

…………………,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,…………………………. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Malikale nchini na Makumbusho ya Taifa, imerithisha historia ya Vita vya Majimaji Kwa wanafunzi na wananchi mbalimbali kupitia kongamano maalum katika Tamasha la Vita vya Majimaji Nandete Mkoani Lindi.  Akizungumza kwenye…