JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DC Mbinga atoa siku saba wanaoishi Hifadhi ya mlima Amani Makolo kuondoka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbinga Mkuu wa Wilaya Mbinga Aziza Mangosongo alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mkeke, kata ya Amani Makolo, Akiwataka wananchi wote wanaoishi kwenye eneo la hifadhi ya mlima amani…

Mama wa kambo awaua watoto wawili kwa kuwanywesha sumu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuwaua watoto wawili wa familia moja kwa kuwanywesha sumu. Kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Richard Abwao, amethibitisha kutokea tukio…

Askari waliotimiza miaka 18 kazini watoa vifaa tiba zahanati ya DPA

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi,Dar es Salaam Askari wa Jeshi la Polisi kutoka chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam wametoa msaada wa vifaa Tiba katika Zahanati ya Jeshi la Polisi iliyopo chuo cha Taaluma ya Polisi Dar…

Nape:Dk Slaa, Mwambukusi wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini na si sakata la bandari

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Balozi Mstaafu Dkt. Willibrod Slaa, Mpaluka Nyangali maarufu Mdude na wakili Boniface Mwabukusi wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini na sio kutokana na wao…

TFS: Asilimia 96 ya asali ya Tanzania inakidhi viwango vya ubora

Na Dotto Kwilasa, Dodoma Asali ya Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa ubora Afrika, huku asilimia 96 ya sampuli ya asali ya inayozalishwa nchini zilizopelekwa maabala ya kimataifa nchini Ujerumani zilibainika kukidhi viwango vya ubora wa Kimataifa. Hayo yamebainishwa jijini…